Logo
 
Participate
 
57 Logo
Aga Khan Logo
CSR Logo
 
 
 
Student
 
 
  STUDENTS OATH
 

Aga Khan Academy, Mombasa

Translation of the Peace Message From C.S.RAMACHARY MEMORIAL MATRIC HR.SEC. SCHOOL, THIRUNAGAR.

VITENGO VYA AMANI

1. Nina Ahidi kukumbuka yafyatayo maishani yangu yote:

  1. Kuangaza amani duniani ni jukumu langu muhimu.
  2. Uvumilivu and Shinikizo pekee huchangia kwa maisha yangu ya amani.
  3. Amani huchangia hitimisho ya utabulishi wangu.
  4. :Ahimsa”, Upendo wa milele ni nguzo ya kupata chochote na kila kitu ulimwenguni.

2.   Nita jibiidisha kila wakati ili ni fatiliziw njia zisizo tumima nguzu ama fujo maishani mwangu.
3.   Nina Ahidi kupinga njia zozote zitakazo kabili amani.
4.     Nakukuwa tayari kujitolea Mhanga kwa ajili ya amana.
5.   Nita fanya Bidii ili kuangaza uajibikaji wa tamaduni za nchi yangu kwa vijana kama mimi.
6. Naelewa kuwan mwananchi mwenye kuheshimu tamaduni zake huheshimika ulimwenguni kwote 
7. Ni ta hitimisha kwaba kama kutotumia nguvu ndio sheria ya hali, wenye vifaa vikubwa watachekwa. 
8.  Amani kinywani mwangu, Amani ni hali yangu na amani ndio njia takutimiza again langu.  

By Terry Waiganji, Stephen Kimanxi, Immaculate Koigi and Shaneabbas Jagani under the care of Teacher Gioko Anthony.

 
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

 

 
 
 
Home   |   Peace   |   World Peace   |   Saving Wildlife   |   Non-Violence   |   Causes of Terrorism   |   Students Corner
Control Violence
  |    Students Oath   |   Reference
Creative Commons License
World Culture and Peace by • Attribute work to name: Team GVC10-22 is licensed under a
Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 Unported License